Somo LA 2
Somo LA 2
Ili tujue tofauti ya
I/ me,
He/him
She/her
We/us
They/them;
Inabidi kwanza tufaham kitu kinachoitwa kauli.
Kuna kauli nyingi ila zinazohusu hapa ni kauli mbili;
kauli ya kutenda na kauli ya kutendwa. Labda nifafanue tofauti ya kauli hizi mbili kwa mifano;
1. Juma alikula chakula. (Kauli ya kutenda)
2. Chakula kililiwa na Juma. ( kauli ya kutendwa)
- ingawa Juma alitenda kitendo cha 'kula' ktk sentensi zote mbili, huwa hatuangalii ni nani mtendaji ili kutambua kauli mbali huwa tunazingatia kama kile kitu (nafsi) tulichokitanguliza ktk sentensi kimetenda au kimetendwa.
- mfano sentensi ya namba 1, nafsi tuliyoitanguliza ktk sentensi ni nafsi Juma , na nafsi hyo imetenda (alikula) hvo sentensi hyo IPO ktk kauli ya kutenda .
- sentensi namba 2, tumetanguliza nafsi chakula, na nafsi hyo imetendwa( kililiwa) hivyo sentensi hyo IPO ktk kauli ya kutendwa.
- kauli ya kutenda huitwa active voice ilhali kauli ya kutendwa huitwa passive voice.
Sasa, kwa mfano huo, tunaweza kutengeneza sentensi zaidi ili kuweka bayana zaidi.
1. Mimi nilikula chakula. ..... Kauli ya kutenda.
( Hii 'Mimi' ni 'I')
2. Chakula kililiwa na Mimi.
Kauli ya kutendwa.
( hii 'Mimi' ni 'me')
I, he, she, we, na they hutumika ktk sentensi za kauli ya kutenda.
me, him, her, us na them hutumika ktk kauli ya kutendwa.
You na it hutumika kote kote.
Pia , nafsi hizi za kauli ya kutenda hupatikana sana mwanzoni mwa sentensi( na kabla ya kitendo kikuu ktk sentensi) ilhali nafsi za kutendwa hupatikana mwishoni mwa sentensi. ( Baada ya kitendo kikuu ktk sentensi)
Mifano ; I ate food... (Mimi) nilikula chakula.
Food was eaten by me. ..... Chakula kililiwa na Mimi.
Kupata Kitabu chetu popote ulipo Tanzania, ambacho masomo haya na mengine mengi yapo jump, tuma SMS ya neno KITABU kwenda 0767882134.
Kufuatilia baadhi ya masomo mengine Facebook, bonyeza link yetu ya Jifunze Kingereza Kwa Kiswahili.
Usikose somo LA 3.

Comments
Post a Comment