Posts
Showing posts from March, 2018
Somo LA 2
- Get link
- X
- Other Apps
Somo LA 2 Ili tujue tofauti ya I/ me, He/him She/her We/us They/them; Inabidi kwanza tufaham kitu kinachoitwa kauli. Kuna kauli nyingi ila zinazohusu hapa ni kauli mbili; kauli ya kutenda na kauli ya kutendwa. Labda nifafanue tofauti ya kauli hizi mbili kwa mifano; 1. Juma alikula chakula. (Kauli ya kutenda) 2. Chakula kililiwa na Juma. ( kauli ya kutendwa) - ingawa Juma alitenda kitendo cha 'kula' ktk sentensi zote mbili, huwa hatuangalii ni nani mtendaji ili kutambua kauli mbali huwa tunazingatia kama kile kitu (nafsi) tulichokitanguliza ktk sentensi kimetenda au kimetendwa. - mfano sentensi ya namba 1, nafsi tuliyoitanguliza ktk sentensi ni nafsi Juma , na nafsi hyo imetenda (alikula) hvo sentensi hyo IPO ktk kauli ya kutenda . - sentensi namba 2, tumetanguliza nafsi chakula, na nafsi hyo imetendwa( kililiwa) hivyo sentensi hyo IPO ktk kauli ya kutendwa. - kauli ya kutenda huitwa active voice ilhali kauli ya kutendwa huitwa passive voice. ...
Somo LA 1
- Get link
- X
- Other Apps
SOMO LA 1 Ili sentensi yako ya kiingereza iwe sahihi, ni lazima angalau iwe na sehemu 3. 1. Mtendaji wa Kitendo 2. Kitendo 3. Wakati ambao kitendo hufanyika ( tenses) Tutaanza na Mtendaji. Kuna watendaji wa aina tofauti, ktk wingi na ktk umoja; Tuna ; 1. Mimi ... ...... Sisi I/me.......we/us 2. Wewe.............Nyinyi You.................You 3. Yeye..................Wao He/ him ......They/ them She/ her. .....They/ them 4. Hicho ( kitu) Huyo ( mnyama). .....It Hivyo ( vitu) Hao ( wanyama)..... They/ them Sasa tutachambua hizi sehem 3 ili tuweze kujieleza kwa kiingereza fasaha Duniani kote lazima kitendo kikitendwa kiwe kimetendwa na mmoja wa hao Swali ni, kwa nn kwa kiswahili tuwe na jina moja ila kwa kiingereza yawe mawili?? Mfano ; Mimi( kwa kiswahili). ...I/ me ( kwa kiingereza) Au ; He/him ( yeye wa kiume), She/ her (yeye wa kike) We/us (s...
THE BOOK TO GET NOW !
- Get link
- X
- Other Apps

Masomo yote tunayatoa kutoka kwa kitabu hiki. Kukipata, tuma SMS ya neno 'KITABU' kwenda 0767882134. Utaelekezwa jinsi ya kukipata popote ulipo Tanzania. Kina sehemu 5; 1. TENSES zote 2. PARTS OF SPEECH ZOTE ( Nouns, Pronouns, Verbs,Adverbs,Adjectives, Prepositions, Conjunctions,Interjections na Articles) 3. Mtaala wa Kiingereza uliofafanuliwa kwa Kiswahili wa kuanzia Std 5 -7, Sekondari yote, na hata baadhi ya mada zinazopatikana Chuoni. 4. Maswali 500 ya Kiingereza ya kujipima uelewa baada ya kukisoma. 5. Majibu ya maswali 500.